Search This Blog

August 8, 2013

HOTUBA YA RAISI MHESHIMIWA JAKAYA KIKWETE YA MWISHO WA MWEZI JULAI 2013!!!!!!!!PATA KUSIKILIZA KUHUSU MGOGORO DHIDI YA RWANDA NA TANZANIA, WARWANDA WALIPEWA USHAURI NA  RAISI WETU NA KUUFANYA KUWA UGOMVI. RAISI WETU JAKAYA KIKWETE AMEELEZA KUTOKUWA NA TATIZO LOLOTE NA RWANDA NA KUONYESHA MFANO MZURI WA KUSISITIZA AMANI NA KUACHANA NA MALUMBANO.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...