Search This Blog

August 13, 2013

MBONI SHOW KUWEZESHA RAIA KIKAZI, NAFASI YA KAZI ZANZIBARAsalaam Aleykum!!

Wapenzi wangu natafuta coordinator wa The Mboni Show kutoka Zanzibar. Vigezo ni rahisi tu, awe anaijua vizuri Zanzibar (vichochoro vyote, kona zote, majanga yote na matatizo yote ya Zanzibar)!

Kama unahisi una hicho kigezo, basi tuma namba yako ya simu haraka iwezekanavyo kwenda info@thembonishow.com au tembelea page yetu ya Facebook ya The Mboni Show kisha inbox namba yako...

Shukran Jazeer!

Asalaam Aleykum!!

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...