Search This Blog

August 8, 2013

MFANYABIASHARA ERASTO MSUYA WA JIJI LA ARUSHA AUWAWA KWA KUPIGWA RISASI

SASA TANZANIA WATU WANAHITAJIKA KUWEKA BULLET PROOF KWA MAGARI YAO AU KUVAA KWANI WANANCHI WACHACHE WENYE CHUKI WANAIHARIBIA JINA NCHI YETU. MAREHEMU ERASTO APUMZIKE SALAMA, INASIKITISHA SANA KWA RAIA KUTOKUWA NA ULINZI HATA BARABARANI, SERIKALI ISAIDIE KUONGEZA KUWEKA PASTROL ZA POLISI. NIMEUMIZWA SANA NA HILI TUKIO.

MWILI WA MAREHEMU UKIWA NA MAJERAHA YA RISASI

WATANZANIA WACHACHE WAMEIGEUZA TANZANIA KUWA NCHI YA KIGAIDI JAMANI KWANINI SERIKALI ISIWAPE WANANCHI ULINZI MZURI?????? MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. TANZANIA INAHITAJI MAOMBI TUNAAIBISHA KWA MAUAJI, MADAWA YA KULEVYA YAANI MUNGU ATUREHEMU.

HOTUBA YA RAISI MHESHIMIWA JAKAYA KIKWETE YA MWISHO WA MWEZI JULAI 2013!!!!!!!!



PATA KUSIKILIZA KUHUSU MGOGORO DHIDI YA RWANDA NA TANZANIA, WARWANDA WALIPEWA USHAURI NA  RAISI WETU NA KUUFANYA KUWA UGOMVI. RAISI WETU JAKAYA KIKWETE AMEELEZA KUTOKUWA NA TATIZO LOLOTE NA RWANDA NA KUONYESHA MFANO MZURI WA KUSISITIZA AMANI NA KUACHANA NA MALUMBANO.

USIKOSE MISS ILALA AUGUST 16TH @GOLDEN JUBILEE TOWER!!!!!!!!!!


RELAXING DAY @ THE PARK...........WISH U ALL A BLESSED DAY.


Najibenda Mpaka Inakera.......

Nlichokaje Kutembea!!!!!!!!

Sexy Me Chillaxing

Dont even know what i was thinking about!!!!!!!!!!!!

Long Hair I Dont care......

Time to Go Home after a long sexy walk..........





August 6, 2013

SO MUCH INLOVE WITH MY SELF.........DAMN I LOVE THIS LIFE, THANK GOD FOR KEEPING ME ALIVE!!!!!!!!!!

Napenda sana nature, huwa kila jioni napenda kutembelea parks na lakes tofauti.........
Napenda Maua jamani nikiangalia maua roho yangu hutulia, namshukuru mungu kwa afya njema na familia nzuri yenye upendo aliyonipa. Mungu ashukuriwe!!!!!
Beautiful me, i love u my starlisha!!!!!!!!!!
Read kwenda kupata ice cream,  napenda my simple life jamani mungu nakuomba muongozo wako kwani bila wewe siwezi lolote.


OUT AND ABOUT WITH MY BESTIIIII NATALIA @UPTOWN TAVERN MINNEAPOLIS............


Uptown Tavern Is My Favorite Hot Spot........Mwanamke Madini
With My bestiii Natalia Enjoying Ourself........

Diva drinking Diva Cocktail........

Sexy Me.....

My Super Sister/Friend Natalia Looking All Sexy......Pendeza Sana
Am Sexy n I Know It......

Love Red Color......

End Of The Story!!!!!!!!



August 3, 2013

HONGERA MY SISSY TIKA MWAKASULA KWAKUPATA MTOTO.........KARIBU SHARON GRACE MWAKASULA DUNIANI WE LOVE U!!!!!!!!!!

KAMA MNAVYOONA MY SISTER KAJIFUNGUA BABY SHARON 7.14LBS MAMA NA MTOTO WOTE NI WAZIMA, MUNGU ASHUKURIWE KWA KUMSAIDIA KUJIFUNGUA SALAMA, MTOTO ANAONEKANA KWA SPECIAL PASSWORD WAMBEA MTAUNGANISHAJE VIPANDE MPAKA SURA IPATIKANE!!!!!!!!!!!! WINK........


BAADA YA KUFUNGUA KAMPUNI KUBWA AFRICA SWAHILI MEDIA MAREKANI MPIGANAJI DAVIS MOSHA "THE CEO" AMUITA SUGE KNIGHT KWA AJILI YA PROMOTION


    Alex Kassuwi akimpokea Mario Hugh knight Jr. aka Suge Knight alipokuwa anawasili kuitikia mwito wa "THE CEO" Davis Mosha. Ambapo walijadiliana jinsi ya kuikuza AFRICA SWAHILI MEDIA nchini Marekani. THE CEO alimuita Suge Knight kutokana na uzoefu wake katika branding na promotion. Suge ni mjasirialiamali na mwekezaji mkubwa, na ni muasisi na alikuwa CEO wa  Black Kapital Records na vilevile ni muasisi mwenza na CEO wa zamani wa Death Row Records. Amewapa mafanikio makubwa wasanii Tupac Shakur, Dr. Dre, Snoop Dogg aka Snoop Lion, Outlawz na Tha Dogg Pound. 

   Suge akiwasili kumuona "THE CEO" Davis Mosha under escort

  Suge Kabla ya kumuona THE CEO alitambulishwa kwanza kwa mtoto wa Davis Mosha, Edgar Mosha. Kulia ni Mayor wa L.A. Bwana Deo Temba.

 Baada ya mazungumzo ya muda mrefu na THE CEO Suge alipata picha ya ukumbusho

  Mayor wa L.A. Deo Temba, Edgar Davis, Suge Knight na THE CEO Mpiganaji Davis Mosha wakiwa pamoja JW Marriott L.A. LIVE

Crew walioambatana na Suge Knight kuja kumuona "THE CEO" Davis Mosha kwa ajili ya Kuikuza AFRICA SWAHILI MEDIA Marekani.

Suge knight alipokuwa akiondoka baada ya kikao na Mpiganaji Davis Mosha THE CEO.
PICHA NI MALI YA AFRIKA SWAHILI MEDIA
Blog zilizzoruhusiwa kutumia ni 3 tatu:
1. issa michuzi
2. William Malecela
3. Tanzanite Glamour
Kwa picha zaidi za Ma-celeb wa ukweli na Interviews tembelea
www.swahilitv.blogspot.com



August 2, 2013

MTANZANIA MSHIRIKI ALIYETOLEWA KATIKA MJENGO WA BIG BROTHER AFRIKA ARMY NANDO ATUA JIJINI LOS ANGELELS CALIFORNIA NA KWENDA MOJA KWA MOJA KUMUONA MPIGANAJI DAVIS MOSHA HOTELINI KWAKE JW MARRIOTI LA LIVE


Army Nando awasili Los Angeles, California

 Mpiganaji Davis Mosha, Edgar D. Mosha, Mayor wa L.A. Deo Temba (Katikati nyuma) na Army Nando

  Mpiganaji Davis Mosha akimpa ushauri Army Nando kuwa asahau yaliyopita na aangalie ya mbele na kumweleza kuwa hiyo ilikuwa ni mchezo tu (It was just a game)

 Nancy Assenga ( Mama wa Army Nando), Army Nando, na Deo Temba L.A. Mayor

 Mayor wa L.A. Deo Temba, Army Nando, Nancy Assenga (Mama na Meneja) na Mkurugenzi mtendaji wa Swahili TV Bwana Alex Kassuwi mara baada ya kumpokea Nando Los Angeles, California.

 Juliet Luangisa, Army Nando na Nancy Assenga (Mama na Meneja wa Nando)

Mkurugenzi Mtendaji Swahili TV Bwana Alex Kassuwi, Army Nando, Walter Minja, Deo Temba na Nancy Assenga-Meneja wa Nando wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kumpokea Army Nando Marekani.

MPIGANAJI DAVIS MOSHA "THE CEO" BAADA YA KUONANA NA WATANZANIA WAISHIO  L.A.  AMWANDALIA HAFLA (BASH) NZITO YA HADHI YA KISTAA (CELEB STATUS) ARMY NANDO KATIKA HOTELI GHALI YA YARD HOUSE L.A. MAREKANI.

 Mpiganaji "THE CEO" Davis Mosha katika msafara aliwakaribisha pia chakula cha jioni watanzania zaidi ya ishirini katika hoteli ya bei ghali L.A. Yard House ambayo ipo Downton katikati ya Uwanja wa Lakers (Staples Center) na JW Marriott Hoteli.

 Army Nando na Nancy Assenga (Mama mzazi na Meneja wake) wakifurahia chakula katika Yard House Hoteli Downtown L.A.

 Mayor wa L.A. Deo Temba naye aliwakilisha jiji lake.

Juliet Luangisa na Walter Minja wakiburudika kwa misosi ya Yard House.

USIKOSE KUANGALIA EXCLUSIVE INTERVIEW NA SWAHILI TV








   USIKOSE KUANGALIA INTERVIEW HII ENDELEA KUANGALIA SWAHILI TV
  www.swahilitv.blogspot.com
www.swahilitv.info
PICHA ZOTE NA SWAHILI TV COPYRIGHT 2013





YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...