Nimepokea taarifa kutoka kwa rafiki yangu wa karibu kaka yangu Felix William Mgimwa kuhusiana na kupotelewa na mpendwa baba yetu/ waziri wetu wa fedha Mheshimiwa Dr William Mgimwa. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Mzee wetu amekuwa akisumbiliwa na tatizo la moyo na figo na mauti yamemfika leo saa 6 mchana South Africa katika hospitali aliyokuwa kalazwa.
Kama kawaida yetu watanzania kufarijiana katika misiba, nawaomba na kuwasihi watanzania wenzangu tuweze ifariji familia ya Mgimwa katika kipindi hiki kigumu.
Msiba utakuwepo nyumbani kwa Felix Mgimwa
ADDRESS: 9000 EAST LINCOLN
WICHITA, KANSAS 67207
FELIX MGIMWA CELL # 316-519-9340
Ningeomba tujitolee kumtumia michango ya rambi rambi kwa AC YAKE FELIX MGIMWA :BANK OF AMERICA ACCOUNT # 005180329473 Aweze kusafiri kwenda Tanzania kwa msiba.
Marehemu Mheshimiwa Dr William Mgimwa enzi za uhai wake.
No comments:
Post a Comment
ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION
Note: Only a member of this blog may post a comment.