Search This Blog

May 14, 2012

REST IN PEACE STEVE KANUMBA................

Ivi haya magazeti ya RUSHA ROHO ya bongo kweli badala ya kuungana na familia ya kanumba kazi kuchokonoa ya uvunguni/nani ya pazia?......Ni aibu gani hii jamani? Personal life ya mtu tena ambae hatunae tena tunaetakiwa kumwombea kwanini azungumziwe kwa mabaya? Mia nasema tuu ila naumia sana kusoma habari kaa hizi, mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Marehemu Kanumba!!!!!!!!! Utakumbukwa kwa mengi kaka yetu, lala salama....mtoa hukumu ni mungu tuu binadamu hatupaswi kutoa hukumu. Pole kwa wafiwa wote na mungu awatie nguvu......maisha mafupi sana tutengeneze njia zetu wapendwa..........

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...