Search This Blog

May 18, 2012

MUNGU ILAZE ROHO YA MAREHEMU PATRICE MUTESA MAFISANGO MAHALI PEMA PEPONI.


 


Ukiona Mwanaume mtu mzima machozi yanamdondoka jua aliumia sana. Mheshimiwa Samwel Sitta alikuwepo kumuaga Kipenzi chetu PatriceMutesa Mafisango

Wachezaji wa timu ya Taifa (Taifa Stars) wakitoa heshima zao za mwisho kwa mpendwa wetu Mutesa Mafisango

Juma Kaseja alishindwa kuendelea kuzuia machozi! so touching
Source:Glorie Ngahyoma

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...