Search This Blog

March 26, 2012

WANGAPI MNAOTOA SUSHI ROLL KWA WAPENZI WENU?....KILA JUMATATU TUTAKUWA TUKIJADILI MAHUSIANO NAJUA MAPENZI YAMEKUWA KITU MUHIMU KTK MAISHA YETU. WENGI WETU HUWA TUNAPUUZIA MAMBO FLANI FLANI....MNASEMAJE WASOMAJI WANGU? TOENI MAONI YENU.

UJUMBE WA LEO KWA KUANZIA NINGEPENDA KUSEMA!!!!!!!!! UNAPOAMUA KUPENDA????VAA UVUMILIVU...IKIBIDI!!!!!! KUBALI KUWA BWEGE ILI UWEZE KUENDELEZA MAHUSIANO YAKO NA MTU WAKO.  VIZAZI VYETU VYA SASA, UVUMILIVU ZERO, TUJITAHIDI SANA WASOMAJI WANGU. WIKI HII NAWAOMBA MJITAHIDI KUJARIBU KITU HICHI KINACHOITWA UVUMILIVU ILITUONE UVUMILIVU UTATUPELEKA WAPI. IKIBIDI TUWE MABWEGE JAMANI,  TAFADHALINI NITUMIENI MAONI YENU. ILITUWEZE ANZA HILI GURUDUMU LA MALAVI DAVI KILA JUMATATU HAPA TANZANITE GLAMOUR. NTARUHUSU COMMENT KWA HIZI TOPIC TUU ZA MALAVIDAVI KILA JUMATATU....KARIBUNI MJIACHIE NA MAONI


No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...