Search This Blog

March 20, 2012

KIJANA ALIYEUWAWA BAADA YAKUAMINIKA KUWA KIBAKA!!!!! WANANCHI WA TANZANIA ACHENI KUCHUKUA SHERIA MKONONI, KUUA NI DHAMBI NA NI KINYUME CHA SHERIA. MKIMKAMATA MWIZI MPELEKENI KITUONI KUMPIGA MPAKA KUFA HAISAIDII KWANI MNAHESABIKA KUTENDA DHAMBI, ANAEWEZA KUHUKUMU NI MUNGU NA MAHAKAMA. TUJITAHIDI KUCHA VITENDO HIVI, TUNAWAFUNZA NINI WATOTO? WIZI NI KOSA ILA MSIENDELEE KUUA.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...