Search This Blog

March 19, 2012

New Jason Russell Video -- UP-CLOSE Naked Meltdown -- Kony 2012


EAST AFRICA SASA TUNASEMWA KUWA WACHAWI WAKUBWA BAADA YA ALICHOFANYWA RUSSELL, DAMN SIAMINI WAUGANDA NI WASHENZI KIASI HIKI JAMANI. HUYU NI RUSSELL ALIYEKUWA AKIMPINGA VITA KONNY KWENYE TV KAMA MNAMKUMBUKA. ALIKANYWA HAKUSIKIA NOW KATEMBEZWA UCHI WA MNYAMA....KAPELEKWA HOSPITAL WAMEMCHEKI NA HAWAJAMKUTA NA LOLOTE LA KUFANYA NI KUOMBEWA TUU....DAAAAH EAST AFRICA IMEGEUKA KUWA NIGERIA JAMANI?????????? AIBU KWELI JAMANI.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...