Search This Blog

May 18, 2013

MUNGU APUMZISHE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI MJOMBA WANGU/RAFIKI YANGU/ KAKA YANGU AYOUB MLAY......


ENZI ZA UHAI WA MAREHEMU AYOUB MLAY, AMEUWAWA USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA CLUB AMBROSIA MBEZI TANZANIA, CONRAD ALIMPIGA RISASI YAKIFUA NAKUKATA ROHO, ALIKUWA AKIAMUA UGOMVI, AYOUB ALIKUWA MPOLE MTU WA WATU, KWAKWELI KIFO CHAKO NI PENGO KATIKA FAMILIA YA MLAY, TUTAKUKUMBUKA DAIMA MILELE. NASIKITIKA SANA KWANI NILIONGEA NA WEWE ALHAMISI UKANISHAURI MENGI TUKACHEKA SANA SIAMININDIO ILIKUWA SIKU YA MWISHO KUSIKIA SAUTI YAKO. NITAKUKUMBUKA DAIMA AYOUB MLAY. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....WANAO MKEO BABA MAMA NDUGU MARAFIKI WATAKUMISS SANA.

MAREHEMU AYOUB MLAY NA RAFIKI YAKE MAREHEMU BABU SAMBEKI JAMANIKWELI NIMEAMINI MAISHA NIMAFUPI SANA TUISHI KWA AMANI WATU WANGU MALUMBANO TUACHE MUNGU AZILAZE ROHO ZAO MAHALI PEMA.

OOOOOOOH JOMBA JAMANI AYOUB JAMANI JAMANI MIE HATA NGUVU SINA JAMANI SIAMINI OOOOOH
No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...