Search This Blog

May 20, 2013

MAREHEMU AYOUB MLAY ATAAGWA KESHO KATIKA KANISA LA KKT MBEZI BEACH WASILIANA NA SEBASTIAN NDEGE KWA # 0784-888-886 KWA MAELEZO ZAIDI JUU YA MSIBA.


Marehemu Ayoub Mlay ataagwa Nyumbani kwake saa 4:30 asubuhi nyumbani kwake TEGETA na baada ya hapo katika kanisa la KKT MBEZI BEACH Kesho Jumanne Saa 6 MCHANA na baada ya kutoa heshima za mwisho, Marehemu atasafirishwa kuelekea Moshi Kilimanjaro kwa mazishi. Kutakuwa na private cars zitakazo peleka watu moshi kwa aajili ya mazishi mtakao penda kwenda Moshi mnaweza wasiliana na MSEMAJI MKUU WA MAZISHI BWANA  SEBASTIAN NDEGE KWA # 0784-888-886. 
Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika nyumba ya marehemu Tegeta, bunde nipatapo picha zaidi nitawawekea kuweza kupata maendeleo ya msiba wa kaka yetu, baba yetu, mjomba yetu marehemu Ayoub Mlay.
Familia ya Marehemu Ayoub enzi za uhai wake na familia yake. Kaacha Mke Jane na watoto watatu Erick, Derick na Michelle.
MAMA WA MICHELLE VICKY ANAEKULA LAMBALAMBA
No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...