Search This Blog

May 21, 2013

BAADHI YA PICHA KATIKA KUTOA HESHIMA YA MWISHO YA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU AYOUB MLAY.


JENEZA LA MAREHEMU LIKIWA NYUMBANI KWAKE

JENEZA LILIPOFUNGULIWA NYUMBANI KWAKE TEGETA KUWEZA KUWAPA FAMILIA NAFASI YAKUUGA MWILI WA MAREHEMU.

MTOTO WA MAREHEMU ERICK AYOUB AKILIA KWA UCHUNGU
WAOMBOLEZAJI WAKITIASAINI KATIKA KITABU
NAHLA AKIKAGUA KITABU CHA WAOMBOLEZAJI
MZEE MENGI ALIWEZA KUHUDHURIA MSIBA HUU PIA

NJEE YA KANISA LA KKT MBEZI SABAS KIWANGONAEALIWEZA KUHUDHURIA MSIBA WA RAFIKI YAKE.

WAKILIWEKA JENEZA TAYARI KWA MSAFARA WA KUELEKEA MOSHI KUZIKADADA WA MAREHEMU KATIKA MAJONZI MAZITO

DADA WAMAREMU MORIO MLAY ALISHINDWA KUJIZUI AKIFIKIRIAKAKA YAKE ALIVYO ULIWA NA MONSTER CONRAD
No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...