May 28, 2013
UHURU KENYATA, WAZIRI WA JAMAICA PORTIA SIMPSON NA VIONGOZI WENGI WAKUTANA NA RAISI KIKWETE ADDIS ABABA ETHIOPIA.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mh Liberata Mulamula walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha kwa mazungumzo Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS Michel Sidibe walipokutana na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS Michel Sidibe na ujumbe wake walipokutana pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS Michel Sidibe pamoja na Mratibu wa Masuala ya Ukimwi wa Marekani Balozi Eric Goosby walipokutana na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Jamaica Bi. Portia Simpson Miller walipokutana na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Waziri Mkuu wa Jamaica Bi. Portia Simpson Miller walipokutana na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulishaWaziri Mkuu wa Jamaica Bi. Portia Simpson Miller kwa Mhe Gideon Moi, Seneta wa Kaunti ya Baringo nchini kenya na ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama cha KANU cha nchi hiyo walipokutana pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Misri Mohamed Morsi walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika Mkutano wa kawaida wa 21 wa Umoja wa Afrika katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa taaisi ya kimataifa inayoshughulikia mapambano dhidi ya Ukimwei, Kifua Kikuu na Malaria ya The Global Fund Dkt Mark Dybil na afisa wa taasisi hiyo Bi Shu-shu Tekle-Haimanot walipokutana na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) professor Ntumba Luaba na ujumbe wake walipokutana na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.
(PICHA ZOTE NA IKULU)
May 25, 2013
Beautiful people at the Sheria Ngowi Exclusive Store Launch...........
Sheria Ngowi with Jestina George all the way from London.......
Mrs Lyalandu and Mr Meru looking hot.....
Kiki and Flaviana.......woooh u guys look so natural and sexy.....
Nice one......
Sexy chicca........
Mwamvita came all the way from SA.....True friends always support each other mfano mzuri wakuigwa dada yangu.
My sexy ladies nawapenda.......
Everything on point ladies....
Instamoment.......
Simply beautiful
Mama Iman asante kwa picha nzuri......nice suit kaka yangu.
Ooooooh This is so lovely.
Rihanna - Nobody's Business ft. Chris Brown.....Am Feeling This After.......#amthewinner#
You'll always be mine, sing it to the world
Always be my boy, i'll always be your girl
Ain't nobody's business, ain't nobody's business
Ain't nobody's business, but mine, and my baby
Mine, and my baby,
But mine, and my baby
But mine, and my baby, oooh.......
Me and you, get it?
Ain't nobody's business
Said it, ain't nobody's business
Your love is perfection, please point me in the right direction
I'mma give you all my affection
Every touch becomes infectious
Let's make out in this Lexus
There's no other love just like this
A life with you I want, I wonder can we become love's persona
You'll always be the one that I wanna come home to boy
Let me love you and show you how special you are
I wanna be your baby, you'll always be my baby
Tell me what you want now
May 22, 2013
Thunder Players Visit Moore........
New photo gallery on thunder website. Coach Brooks and players vist Moore tornado victims and workers. http://www.nba.com/thunder/gallery/playersvisitmoore_130522
Hasheem Thabeet looking at how tornado wipe his city.........
May 21, 2013
BAADHI YA PICHA KATIKA KUTOA HESHIMA YA MWISHO YA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU AYOUB MLAY.
JENEZA LA MAREHEMU LIKIWA NYUMBANI KWAKE
JENEZA LILIPOFUNGULIWA NYUMBANI KWAKE TEGETA KUWEZA KUWAPA FAMILIA NAFASI YAKUUGA MWILI WA MAREHEMU.
MTOTO WA MAREHEMU ERICK AYOUB AKILIA KWA UCHUNGU
WAOMBOLEZAJI WAKITIASAINI KATIKA KITABU
NAHLA AKIKAGUA KITABU CHA WAOMBOLEZAJI
MZEE MENGI ALIWEZA KUHUDHURIA MSIBA HUU PIA
NJEE YA KANISA LA KKT MBEZI SABAS KIWANGONAEALIWEZA KUHUDHURIA MSIBA WA RAFIKI YAKE.
WAKILIWEKA JENEZA TAYARI KWA MSAFARA WA KUELEKEA MOSHI KUZIKA
DADA WA MAREHEMU KATIKA MAJONZI MAZITO
DADA WAMAREMU MORIO MLAY ALISHINDWA KUJIZUI AKIFIKIRIAKAKA YAKE ALIVYO ULIWA NA MONSTER CONRAD
Subscribe to:
Posts (Atom)