Search This Blog

February 22, 2012

JACK PATRIC AKIPEWA KIPONDO!!!WEMA SEPETU ALA RAHA DUBAI HUKU DA DOTNATA POSH AKIUGULIA MAUMIVU MAKALI BAADA YA KUPASULIWA NA KUTOLEWA KILO 2 TUMBONI.Napenda magazeti ya udaku ila yamezidi kumchafua Wema kila mara, kwani Wema anashindwa nini kuwa na milioni 45? kwani ni hela nyingi kwa binti mzuri kaa yeye kushindwa kuipata kwaajili ya kwenda kufanya shopping yake Dubai? Acheni ushamba bwana, mwacheni mtoto ale raha zake wakati ni wako Wema enjoy maisha kwani ni mafupi.


STAA wa filamu Bongo aliye mjasiriamali na mlezi wa wasanii nchini, Husna Posh ‘Dotnata’ yupo kitandani akiugulia maumivu makali baada ya kufanyiwa upasuaji na kutolewa kilo mbili za uvimbe tumboni. Mungu awe nae nakumpa afya njema mama 
yetu


Pole kwa kipondo shosteeeeeeee!!!!!! Next time achakupanda mabasi endesha peke yako.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...