Search This Blog

January 11, 2013

MEET YOUR MISS TANZANIA, FINALIST FOR MISS AFRICA USA PAGEANT 2013. SHE WILL RAISE THE FLAG OF TANZANIA THIS YEAR. YOUR MISS TANZANIA IS......MAGGIE MUTHALI RUSSO

Lets support her Watanzania wenzangu kwa atakaeweza kumpigisha zoezi anakaribishwa kama mnavyojua mazoezi yanahitaji moyo na exercise partner wewe uliyejificha unaependa kufanya mazoezi plz jitokeze umbebeshe chuma na kumtoa kajasho mrembo wetu......Stylist yeyote atakae weza kumvalisha mrembo wetu naomba ajitokeze aweze kutoa mawazo na gharama atakazohitaji kulipwa  anaweza kunitafuta direct au kumtafuta mrembo wetu.

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...