Search This Blog

August 19, 2012

VIONGOZI WA CCM DMV WATOA SALAMU ZA EID MUBARAK.........Kwa mara nyingine tena Chama Cha Mapinduzi DMV kinaungana na ndugu na jamaa wa waislamu popote duniani kwa kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Chama Cha Mapinduzi, DMV inawatakia furaha tele katika sikukuu ya Eid na Tunapenda kuwapa mkono wa EID Mubarak -2012


Amani, upendo na Ushirikiano
EID MUBARAK
Imetolewa na ofisi ya Mwenyekiti-DMV
WASHINGTON DC

No comments:

Post a Comment

ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION

Note: Only a member of this blog may post a comment.

YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...