Search This Blog

October 11, 2013

MAY UR SOUL REST IN PEACE TIMOTHY MSHOMI.....KWA HABARI ZA MSIBA TUTAWALETEA ENDELEA KUTEMBELEA BLOG YETU.




SIELEWI KILICHO SABABISHA MDOGO WANGU KUUTOA UHAI WAKO ILA NAKUOMBEA UPUMZIKE SALAMA, KWA HABARI ZILIZOTUFIKIA TIMOTHY AMEJIPIGA RISASI NYUMBANI KWAO ROGERS MINNEAPOLIS JANA ASUBUHI. MUNGU AWAPE NGUVU BABA NA MAMA YAKO KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU.
ENZI ZA UHAI WA TIMOTHY

AM SPEECHLESS CANT EVEN BELIEVE IT!!!!!!!!!!!! YYYYYY TIMO WHAT HAPPEN JAMANI!!!!!!!!!!

PUMZIKA SALAMA.


YOU MAY ALSO LIKE THIS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...