Davis Mosha "The CEO", Deo Temba "Mayor wa LA" na milionea Jimmie Maggette wakiwa katika Supper Club Hollywood jana usiku kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa tajiri Jimmie ambaye ni mdogo wa mcheza basketball maarufu na tajiri Corey Maggette. MC wa party alikuwa mwanamuziki maarufu J Cole. Wamarekani weusi wanajisikia proud sana wanapokutana na successful people kutoka Afrika.
The CEO Davis Mosha, D. Temba, Jimmie Maggettte na Alex King
Deo Temba "Mayor wa L.A." katikati ni Mlinzi (BodyGuard) wa Davis Mosha " The CEO"
Baada ya The CEO Davis Mosha kukubali mwaliko wa Jimmie Maggette alitumiwa mlinzi maalum (Body Guard) wa kumlinda, maana sehemu hiyo hawaendi watu wa kawaida, lazima uwe na mlinzi. Hapa Boss Mosha akiteta jambo na Body Guard wake.
Mayor wa L.A. Deo Temba akikaribishwa kwenye gari na Boss Mosha
Ricardo Emmanuel Brown Rapper maarufu na aliyewahi kuwa Excutive Vice President wa Death Row records, jina la kisanii Kurupt aka Kurupt tha Kingpin, aka Kurupt young Gotti au Young Gostra, ni member wa kundi kali la hip-hop la Tha Dogg Pound na HRSMN akiwa na The CEO Davis Mosha katika birthday party ya Jimmie Maggette Super Club, Hollywood Los Angeles.
Deo Temba "L.A Mayor," Davis Mosha" The CEO" na Comedian Maarufu Funny Man Red Grant
Alex King na tajiri na mmiliki wa Kiota maarufu cha R n B LIVe Hollywood. L.A.
Bathroom ina kila aina ya perfumes, zote expensive ukiingia lazima utoke na unyunyu mpya na pipi za bei ghali.
Alex king akiwa na Bodyguard wa Davis Mosha Super club L.A.
PICHA ZOTE NA SWAHILI TV
PICHA ZOTE NA SWAHILI TV