Hotuba ya kina Mama kutoka kwa Mhe. Balozi Maajar
Baadhi ya kina Mama waishio DMV waliweza kushirikiana pamoja kuaanda hafla ya chakula cha Usiku pamoja na mziki, kwa ajili kumuanga Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nchi za Marekani na Mexico (anayemaliza muda wake) Mhe. Mwanaidi S. Maajar.
No comments:
Post a Comment
ABUSIVE LANGUAGE IS NOT ALLOWED TO THIS BLOG. THANK U FOR UR COOPERATION
Note: Only a member of this blog may post a comment.