August 6, 2013
August 4, 2013
August 3, 2013
BAADA YA KUFUNGUA KAMPUNI KUBWA AFRICA SWAHILI MEDIA MAREKANI MPIGANAJI DAVIS MOSHA "THE CEO" AMUITA SUGE KNIGHT KWA AJILI YA PROMOTION
Alex Kassuwi akimpokea Mario Hugh knight Jr. aka Suge Knight alipokuwa anawasili kuitikia mwito wa "THE CEO" Davis Mosha. Ambapo walijadiliana jinsi ya kuikuza AFRICA SWAHILI MEDIA nchini Marekani. THE CEO alimuita Suge Knight kutokana na uzoefu wake katika branding na promotion. Suge ni mjasirialiamali na mwekezaji mkubwa, na ni muasisi na alikuwa CEO wa Black Kapital Records na vilevile ni muasisi mwenza na CEO wa zamani wa Death Row Records. Amewapa mafanikio makubwa wasanii Tupac Shakur, Dr. Dre, Snoop Dogg aka Snoop Lion, Outlawz na Tha Dogg Pound.
Suge akiwasili kumuona "THE CEO" Davis Mosha under escort
Suge Kabla ya kumuona THE CEO alitambulishwa kwanza kwa mtoto wa Davis Mosha, Edgar Mosha. Kulia ni Mayor wa L.A. Bwana Deo Temba.
Baada ya mazungumzo ya muda mrefu na THE CEO Suge alipata picha ya ukumbusho
Mayor wa L.A. Deo Temba, Edgar Davis, Suge Knight na THE CEO Mpiganaji Davis Mosha wakiwa pamoja JW Marriott L.A. LIVE
Crew walioambatana na Suge Knight kuja kumuona "THE CEO" Davis Mosha kwa ajili ya Kuikuza AFRICA SWAHILI MEDIA Marekani.
Suge knight alipokuwa akiondoka baada ya kikao na Mpiganaji Davis Mosha THE CEO.
PICHA NI MALI YA AFRIKA SWAHILI MEDIA
Blog zilizzoruhusiwa kutumia ni 3 tatu:
1. issa michuzi
2. William Malecela
3. Tanzanite Glamour
Kwa picha zaidi za Ma-celeb wa ukweli na Interviews tembelea
www.swahilitv.blogspot.com
Kwa picha zaidi za Ma-celeb wa ukweli na Interviews tembelea
www.swahilitv.blogspot.com
August 2, 2013
MTANZANIA MSHIRIKI ALIYETOLEWA KATIKA MJENGO WA BIG BROTHER AFRIKA ARMY NANDO ATUA JIJINI LOS ANGELELS CALIFORNIA NA KWENDA MOJA KWA MOJA KUMUONA MPIGANAJI DAVIS MOSHA HOTELINI KWAKE JW MARRIOTI LA LIVE
Army Nando awasili Los Angeles, California
Mpiganaji Davis Mosha, Edgar D. Mosha, Mayor wa L.A. Deo Temba (Katikati nyuma) na Army Nando
Mpiganaji Davis Mosha akimpa ushauri Army Nando kuwa asahau yaliyopita na aangalie ya mbele na kumweleza kuwa hiyo ilikuwa ni mchezo tu (It was just a game)
Nancy Assenga ( Mama wa Army Nando), Army Nando, na Deo Temba L.A. Mayor
Mayor wa L.A. Deo Temba, Army Nando, Nancy Assenga (Mama na Meneja) na Mkurugenzi mtendaji wa Swahili TV Bwana Alex Kassuwi mara baada ya kumpokea Nando Los Angeles, California.
Juliet Luangisa, Army Nando na Nancy Assenga (Mama na Meneja wa Nando)
Mkurugenzi Mtendaji Swahili TV Bwana Alex Kassuwi, Army Nando, Walter Minja, Deo Temba na Nancy Assenga-Meneja wa Nando wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kumpokea Army Nando Marekani.
MPIGANAJI DAVIS MOSHA "THE CEO" BAADA YA KUONANA NA WATANZANIA WAISHIO L.A. AMWANDALIA HAFLA (BASH) NZITO YA HADHI YA KISTAA (CELEB STATUS) ARMY NANDO KATIKA HOTELI GHALI YA YARD HOUSE L.A. MAREKANI.
Mpiganaji "THE CEO" Davis Mosha katika msafara aliwakaribisha pia chakula cha jioni watanzania zaidi ya ishirini katika hoteli ya bei ghali L.A. Yard House ambayo ipo Downton katikati ya Uwanja wa Lakers (Staples Center) na JW Marriott Hoteli.
Army Nando na Nancy Assenga (Mama mzazi na Meneja wake) wakifurahia chakula katika Yard House Hoteli Downtown L.A.
Mayor wa L.A. Deo Temba naye aliwakilisha jiji lake.
Juliet Luangisa na Walter Minja wakiburudika kwa misosi ya Yard House.
USIKOSE KUANGALIA EXCLUSIVE INTERVIEW NA SWAHILI TV
USIKOSE KUANGALIA INTERVIEW HII ENDELEA KUANGALIA SWAHILI TV
www.swahilitv.blogspot.com
www.swahilitv.info
PICHA ZOTE NA SWAHILI TV COPYRIGHT 2013
BAADA YA SIKU NDEFU NILIJIPATIA PEDICURE NA MANICURE.........
MKURUGENZI WA SWAHILI TV ALEX KASSUWI AKA ALEX KING AIFIKISHA SWAHILI TV HOLLYWOOD KWA KISHINDO.
Alex Kassuwi aka KING akienda kwenye moja ya mikutano ya kusaini deals, Hollywood blvd, California
Mpiganaji The CEO Davis Mosha akiwa katika mazungumzo na Mwanzilishi na Boss wa Immigrant magazine Bwana Charles Anchang katika hotel namba moja L.A. JW Marriot
Crew mpya wa Swahili TV Bwana J akiwa na mkurugenzi Bwana Alex kassuwi (King)
Alex K. King akiwa na mkurugenzi wa Immigrant magazine Bwana Charles Anchang katika hotel namba moja L.A. JW Marriot.
Furaha baada ya Mkutano kati ya maboss wawili Alex na Charles
PICHA ZOTE NA SWAHILI TV
www.swahilitv.blogspot.co
KWA SHOPPING ZA SIKUKUU YA EID TEMBELEA ZURII FASHION
HABARI NZURI KWA WALE WATEJA WETU VIBONGE aka PLUS SIZE NI KWAMBA MZIGO UMESHAFIKA DUKANI.
KWA WALE KAKA ZETU MNAO TAKA RABA ZA MTOKO ORIGINAL CONVERSE, TOMS NA VANS PIA ZINAPATIKANA.
WALE WA SIZE NDOGO PIA KUNA NGUO NZURI SANA ZINAPATIKANA.
WAZAZI WAPENDEZESHE PIA WATOTO WAKO NA ZuRii KIDS COLLECTION.
KARIBUNI MJIPATIE VITU VYA SIKUKUU, MAKAZINI, MITOKO NA KANISANI.
NGUO NZURI, QUALITY NZURI NA BEI NAFUU.
LOOK GOOD, FEEL GOOD WITH ZuRii FASHION & BEAUTY BOUTIQUE.
TUNAPATIKANA SIZA LEGHO, NYUMA YA ROMBO GREEN VIEW HOTEL (KUNA KIBAO BARABARNAI PIA). TUPIGIE +255659189769 or WHATSAPP +447404332910 (BUSINESS ONLY).
NGUO ZA PLUS SIZE ZINAZOPATIKANA NI SIZE 14-20 (UK). NA SIZE NDOGO NI 8-14 (UK).
KARIBUNI SANA.
KWA WALE KAKA ZETU MNAO TAKA RABA ZA MTOKO ORIGINAL CONVERSE, TOMS NA VANS PIA ZINAPATIKANA.
WALE WA SIZE NDOGO PIA KUNA NGUO NZURI SANA ZINAPATIKANA.
WAZAZI WAPENDEZESHE PIA WATOTO WAKO NA ZuRii KIDS COLLECTION.
KARIBUNI MJIPATIE VITU VYA SIKUKUU, MAKAZINI, MITOKO NA KANISANI.
NGUO NZURI, QUALITY NZURI NA BEI NAFUU.
LOOK GOOD, FEEL GOOD WITH ZuRii FASHION & BEAUTY BOUTIQUE.
TUNAPATIKANA SIZA LEGHO, NYUMA YA ROMBO GREEN VIEW HOTEL (KUNA KIBAO BARABARNAI PIA). TUPIGIE +255659189769 or WHATSAPP +447404332910 (BUSINESS ONLY).
NGUO ZA PLUS SIZE ZINAZOPATIKANA NI SIZE 14-20 (UK). NA SIZE NDOGO NI 8-14 (UK).
KARIBUNI SANA.
Subscribe to:
Comments (Atom)















